Shafii ndo mtangazaji bora wa michezo?

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,782
Reaction score
3,199
kuna tangazo naliskia clous na sauti ya shafii na utafiti cjui wa Upsouce eti yeye ndo mtangazaji bora kwa vigezo gani jamani mpk awe mtangazaji bora wa michezo? wa kina kitenge,katanga, kalumanga, nk hawajawaona
 
Huyo jamaa alikuwa anafanya makosa mengi sana katika matamshi, mfano Sevilla alikuwa akiitamka kama Sevilya badala ya Seviya, James Milner pia alikuwa anachemka kutamka. Alikuwa anachanganya 'R' na 'L' pia.


Hakuwa na mtiririko mzuri wa taarifa ama uchambuzi wake ambao hata wenyewe alikuwa ana-copy kutoka kwa kina Carlo Garganese & Co na kutafsiri. Sijamskia kwa miaka kama mi-3 hii ya mwisho, kama yuko vile vile na taarifa yako ni ya ukweli, basi kazí tunayo.
 
Hilo shirika lililofanya uwo utafiti sijui lilifanya kwenye redio yao tu maana kila kipindi kwao kinaongoza... Nadhani wanajipa promo ili watu wawakubali kwamba ni mabingwa... Upuuzi kweli ule
 
Watangazaji wengi wa michezo bongo ni wanazi na wanakela sana,mtu kama kitenge simba ikifungwa utamskia anavyo furahi anageuka kuwa msemaji wa timu iliyoshinda,hemed kivuyo huyu ndo masaaabuli kabisa anaweza kuipamba yanga kama we ni mgeni wa mambo ya soka unaweza kudhani labda yanga ndo inapngoza ligi ya uingereza,kuna hyu sijui inaitwa lomonga justin,wa uhuru fm,hyu ndo kitumbua kabsa l,sokumoja alikuwa anatangaza game ya yanga sijui na ka timu gani,yanga kwa bahati mbaua wakapata bao,hyu jamaa alijisahau kabsa utasema yiko kwenye vijiwe vya kahawa kwa jinsi alivyoshagilia..!!
 
Mchambuzi sijui mtangazaji gani huyo ana mahaba na timu flani mpk basi...hana lolote huyooo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…