Shafiq Batambuze amerudi Singida United

Abby Newton

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
1,252
Reaction score
2,253
Yanga mmesikia hii? Shafiq Batambuze amerudi Singida United na atacheza daraja la 3. Nazani hii imetokana na athari ya Covid-19 ambapo ligi nyingi zimesimamishwa. Najiuliza hivi Yanga wanalijua hili?

Upande wa kushoto anaocheza Yassin anahitajika mchezaji makini wa kumsaidi. Nadhani Batambuze ana ubora wa kucheza Yanga. Hapo kabla baada ya kutoka Singida Shafiq alienda Gormahia, baadae Guinea na sasa karudi Singida.

Nashauri uongozi wa Yanga uzungumze nae kabla hajanaswa na timu zingine. Shafiq ana footwork na Control nzuri sana na anaweza kunisaidia sana Yanga. Yanga inaupungufu wa wachezaji wenye uwezo wa kumiliki mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…