tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 280
Tuntemeke Sanga hakuwa professor ila alikuwa na degree 5 kama sikukosea. Hata hivyo maelezo mengine nimeyapenda-:A S thumbs_up:huyo Dk Eliamani Sedoyeka mbona tunasikia na yeye vyeti vyake Feki, tunachotaka ni kazi, yuko Profesa mmoja (km sikosei Tuntemeke Sanga) alimwambia mwl nipishe nitawale kwani mm nimesoma sana hapa nchini kuliko wote.
Hivi kuna kitu gani hapa Duniani utaandika ambacho ni kipya kabisa, labda urudi kutoka jehanamu au km kuna Mbingu