EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Habari za leo wakuu,
Kuna ndugu yangu anataka kujiunga na Masomo ya shahada (Bachelor). Ana machaguo yafuatayo na anatakiwa kuchagua moja kati ya haya.
1. Bachelor of Commerce
2. Bachelor of Computer Applications
3. Bachelor of Commerce
4. Bachelor of Business Administration
Sasa wakuu kati ya shahada hizo ni ipi ambayo ni nzuri kwa kujiajiri na kuajiriwa?
Au ndio aende VETA tu?