Kwanza hii shahada ya "animal health and production" umeikuta wapi we kijana ? kwa uelewa wangu ni kwamba hakuna kitu kama hicho hapa Tanzania (labda kama imeanzishwa mwaka huu).
ninavyojua kuna "diploma in animal health and production" kwa kifupi DAHP ambayo hii ni STASHAHADA.
pia kuna "certificate in animal health and production" kwa kifupi CAHP ambayo hii ni ASTASHAHADA.
-shahada ni degree programmes, mfano bachelor in animal sciences, veterinary medicine, etc (hakuna bachelor kwa maana ya 'shahada' ya animal health and production).
by the way, hongera kwa kuchaguliwa na karibu sana LITA.
umepata campus gani vile ?