Jeremiah Stephin
Senior Member
- Feb 6, 2014
- 118
- 124
Ok,,only Teachers.
Pia waweza kubadilisha hiyo course ukaenda nyingine ajira ni janga
Ajira zipo nyingi
Soko la ajira kada ya mifgo baada ya kumaliza shahada au stashahada ya animal health and production likoje..je kuna usumbufu wa kupata ajira?
kama hujui pita hivi(kimya kimya)
Ajila zikojeKwanza hii shahada ya "animal health and production" umeikuta wapi we kijana ? kwa uelewa wangu ni kwamba hakuna kitu kama hicho hapa Tanzania (labda kama imeanzishwa mwaka huu).
ninavyojua kuna "diploma in animal health and production" kwa kifupi DAHP ambayo hii ni STASHAHADA.
pia kuna "certificate in animal health and production" kwa kifupi CAHP ambayo hii ni ASTASHAHADA.
-shahada ni degree programmes, mfano bachelor in animal sciences, veterinary medicine, etc (hakuna bachelor kwa maana ya 'shahada' ya animal health and production).
by the way, hongera kwa kuchaguliwa na karibu sana LITA.
umepata campus gani vile ?
Fafanua swali lako ndugu. Unataka kujua nini kuhusu "AJIRA" zinazohusiana na kozi tajwa hapo juu ?Ajila zikoje
Kasomee mambo ya soft ware na AI . Utanikumbuka.Soko la ajira kada ya mifgo baada ya kumaliza shahada au stashahada ya animal health and production likoje..je kuna usumbufu wa kupata ajira?
kama hujui pita hivi(kimya kimya)