Shahada ya ualimu ilipwe sawa na zingine

Shahada ya ualimu ilipwe sawa na zingine

Shahada ya ualimu unasoma miaka mitatu, sheria miaka minne au mitano, udaktari miaka mitano na hata ada vyuoni zina utofauti kwa hiyo usitegemee kuwa sawa kwenye salary
 
Madaktari wamesoma miaka mingi zaidi kwa hiyo si haki mishahara ikalingana.
 
Madaktari wamesoma miaka mingi zaidi kwa hiyo si haki mishahara ikalingana.

mbali na hapo,masomo ya udaktari,uinjinia,sheria,uongozi nk ni magumu sana kwa mtu aliye na ubongo wa kawaida(hao unaowaita wana ufaulu mdogo).,ndiyo maana wanatakiwa wenye smart brain ndo watayamudu vinginevyo tutapata madaktari vilaza.,kuna kamsemo kanasema "yani mwalimu kwa muda mfupi tu mwanangu ameshayajua mambo ambayo wewe ulitumia miaka mingi kuyaelewa"..
 
Never! Hadi katiba imesema kila mtu anayo haki ya kupata ujira kutokana na sifa na kazi anayofanya. Kwahiyo sifa tofauti, kazi tofauti na mshahara tofauti vilevile. We huoni waheshimiwa wa std 7 bunge la katiba wanavyotaka sifa ya kuwa 4m4 ndiyo angalau uchaguliwe ubunge iondolewe ili waendelee kula mamilion per month? cha kushangaza sasa siku hizi hadi watendaji wa kata wanaajiliwa wenye bachelor degree! Lakin ubunge eti ujue kusoma na kuandika basi!! Unakula milioni zako kila mwezi!!!
 
Huohuo unatosha sana!Mimi kwa mwaka nafundisha siku sitini tu,kazi mwisho ijumaa saa tano,pia usiku me nakoroma tu madokta wanakuwa na zamu za usiku,wanatofautiana kidogo tu na walinzi.Pia kwa wanasheria wao walipwe tu ela nyingi muda wote wanatakiwa wasome kupitia pitia vifungu vya sheria,uhoni kama hayo ni mateso?wakati mimi nikienda darasani nikiamua nasoma kitabu kama kilivyo paka pindi linaisha au huku uzaramuni ni mwendo wa stori za vigodoro na za mkoleni.Siungi mkono hoja.
 
Back
Top Bottom