Huohuo unatosha sana!Mimi kwa mwaka nafundisha siku sitini tu,kazi mwisho ijumaa saa tano,pia usiku me nakoroma tu madokta wanakuwa na zamu za usiku,wanatofautiana kidogo tu na walinzi.Pia kwa wanasheria wao walipwe tu ela nyingi muda wote wanatakiwa wasome kupitia pitia vifungu vya sheria,uhoni kama hayo ni mateso?wakati mimi nikienda darasani nikiamua nasoma kitabu kama kilivyo paka pindi linaisha au huku uzaramuni ni mwendo wa stori za vigodoro na za mkoleni.Siungi mkono hoja.