Hivi Tanzania na jurisdiction zingine hakuna case laws zinazotoa majibu ya shahidi anayekataa kujibu maswali kwa kisingizio cha siwezi kujibu kwa vile nina kiapo?
Naona Jaji kama hajui kitu kama hiki
I guess, stand to be corrected, nijuavyo shahidi huyo anakuwa discredited or ushihidi wake ni inadmissible.
Cross examination ni root of the defense case kukataa kujibu maswali tafsiri yake ni kuwa utetezi umenyimwa nafasi ya kujitetea. Right to be heard!