Shahidi na kibatala mahakamani.

Shahidi na kibatala mahakamani.

Bani Israel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
1,775
Reaction score
3,593
Jaji: wakili upande wa utetezi mpo tayari kuhoji?

Kibatala : nipo tayari Jaji..

Wakili kibatala anaanza kuhoji.
Kibatala: shahidi umekula?

Shahidi: sijala

Jaji: embu mpeni shahidi chapati na chai asije kuzimia hapa.
 
Back
Top Bottom