Shahidi ni mtu gani?

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Habari wakuu

Nimekua nikilisikia hili neno "SHAHIDI"hasa kwenye siasa za jamhuri ya watu wa Iran.

Je, lina maana gani?

Msaada tafadhali.
 
Shahidi ni matayari.
Ni mtu aliye tayari kuua au kufa/anaekufa kwasababu ya imani yake...unaweza ukawa unaamini kuwa dunia ni flat mpaka ukawa tayari kufa kwa ajili ya imani hiyo.

Kwa siasa za Iran shahidi ni mtu aliye tayari kufa kwa ajili ya imani yake katika Allah...Yaani yuko tayari kufanya kitu chochote kuangamiza maadui wa Allah kama maisrael au kuendeleza dini ya Allah au dola ya kiislam hata kama anaweka maisha yake rehani.
 
Shukrani mkuu
 
Acha kupotosha wewe,kitu kama hujui ni bora upige kimya,sio Iran tu,katika iman ya uislamu shahidi ni mtu aliyekufa kwa kuipigania haki yake,kama vile mtu anakuja kuidhuru familia yako,au anachukua ardhi au mali zingine lazima uipiganie haki yako,wewe unaonekana ni Islamophobia.
 
Pumba tupu..pigania dem wako sasa uitwe shahidi IRAN

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi shahidi anatakiwa awe na uthibitisho wa alichokishuhudia.
siku hizi shahidi siyo lazima awe eneo la tukio,unaweza kumchukua hata wa mikoani akaja kutoa ushahidi mjini na ukashinda kesi
 
Kwanini maadui wa Israel wengi wamegeuka na kuwa rafiki zake, hasa nchi za Kiarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…