Shahidi wa michongo Afande Jumanne kuja na jipya lipi leo?

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,321
Reaction score
2,106
Tunaona kila kitu kinavyoenda na kwa kweli sio mbaya kabisa kwani Mbowe akifungwa itakuwa ni chachu Zaidi ya mapambano kwani very soon we will see the right light!
Leo Shahidi wa michongo Afande Jumanne anakuja kuendelea kutoa ushahidi wake wakati hata yeye anajua fika kuwa yeye ni Shahidi wa michongo na amewekwa na Serikali kwa mpango dhalimu kabisa! Huyu mtu hata mimi ninajua kwa wakati ule alikuwa O/bay na hakuwa Center kabisa. Kwa sababu Mungu huwa haoneshi madhambi ya watu hapo hapo ili watubu huyu ataendelea kushupaza shingo mpaka mwisho. Hata hivyo kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu ninaomba atoe hata mfano tu kwa huyu uwezo wake udhihirike leo ili Afande Jumanne atakapotaka tu kutamka neon basi mdomo wake upindie upande na isimtoke hali hiyo mpaka pala atakapokuja kuomba msamaha kwa kuongea uwongo kwa Muumba wetu!
 
Unaingilia Uhuru wa mahakama
 
Hivi hawa jamaa wanakaa mitaa yakwetu hii na wanapita kwenye balabala hizi!
 
Kumbe mmemtoa kafara!?
 
Hakika!
 
Na kwamba, kufikia mwisho wa kesi, Wasiojulikana watakuwa wamejulikana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…