M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 8,860 Reaction score 11,554 Aug 11, 2021 #41 Elli M said: Sasa naona Mataga wanashangilia weeeee ndio ujue hawa Jamaa akili zao huwa wanaziacha chooni Click to expand... Kwenye ushahidi ukiongopa kwenye maswali ya mbeleni unajifunga
Elli M said: Sasa naona Mataga wanashangilia weeeee ndio ujue hawa Jamaa akili zao huwa wanaziacha chooni Click to expand... Kwenye ushahidi ukiongopa kwenye maswali ya mbeleni unajifunga
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Aug 11, 2021 #42 Restart said: Hahahaha! Ogopa sana watu wanaopenda kusikia kile ambacho kitayafurahisha masikio yao. Mna chuki na Ole Sabaya, lakini mahakama itatenda haki. Click to expand... Hivi mirembe ulitoroka au uliruhusiwa ba Dr?
Restart said: Hahahaha! Ogopa sana watu wanaopenda kusikia kile ambacho kitayafurahisha masikio yao. Mna chuki na Ole Sabaya, lakini mahakama itatenda haki. Click to expand... Hivi mirembe ulitoroka au uliruhusiwa ba Dr?
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 4,949 Reaction score 24,046 Aug 11, 2021 Thread starter #43 pilipili kichaa said: Hivi mirembe ulitoroka au uliruhusiwa ba Dr? Click to expand... Niliruhusiwa baada ya kupona. Wewe endelea kutumia dozi, akili bado fyongo.
pilipili kichaa said: Hivi mirembe ulitoroka au uliruhusiwa ba Dr? Click to expand... Niliruhusiwa baada ya kupona. Wewe endelea kutumia dozi, akili bado fyongo.
C chabusalu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 8,084 Reaction score 5,210 Aug 11, 2021 #44 Restart said: Huna 'mandate' yeyote ya kunipangia cha kuandika as long as sivunji sheria za JF. Nitaendelea kuandika chochote nitakachojisikia. Click to expand... Hata kama hana 'mandate' yoyote ya kukupangia cha kuandika, lakini ni ujinga kuja hapa kuandika upotoshaji!
Restart said: Huna 'mandate' yeyote ya kunipangia cha kuandika as long as sivunji sheria za JF. Nitaendelea kuandika chochote nitakachojisikia. Click to expand... Hata kama hana 'mandate' yoyote ya kukupangia cha kuandika, lakini ni ujinga kuja hapa kuandika upotoshaji!
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Aug 11, 2021 #45 Restart said: Niliruhusiwa baada ya kupona. Wewe endelea kutumia dozi, akili bado fyongo. Click to expand... Ungekuwa timamu ungeona aibu baada ya kuumbuliwa, ni ajabu kuendelea kukaza fuvu.
Restart said: Niliruhusiwa baada ya kupona. Wewe endelea kutumia dozi, akili bado fyongo. Click to expand... Ungekuwa timamu ungeona aibu baada ya kuumbuliwa, ni ajabu kuendelea kukaza fuvu.