johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwenyekiti wa CHADEMA Singida mjini Mhe. Shaibu amesema Katibu wa Wazazi wa CCM Dr Ali Happi alipofika Singida alifanya Siasa ndani ya msikiti ambao Shaibu anaabudu hapo.
Happi alisema Chadema wanampinga Rais Samia kwa Sababu ni Muislamu na akawasihi Waislamu kwa Umoja wao wamtetee Muislamu mwenzao.
Shaibu ameonya si vema Siasa ndani ya nyumba za Ibada zikaachwa zilendelee.
Source: Mwanzo TV Plus.
My take; Hapo Kenya kwenye Katiba mpya Siasa zimeruhusiwa Makanisani
Nawatakieni Dominica Njema 😀