johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Happy ni mdini haswa kama alivyo mazaMwenyekiti wa CHADEMA Singida mjini Mhe. Shaibu amesema Katibu wa Wazazi wa CCM Dr Ali Happi alipofika Singida alifanya Siasa ndani ya msikiti ambao Shaibu anaabudu hapo.
Happi alisema Chadema wanampinga Rais Samia kwa Sababu ni Muislamu na akawasihi Waislamu kwa Umoja wao wamtetee Muislamu mwenzao.
Shaibu ameonya si vema Siasa ndani ya nyumba za Ibada zikaachwa zilendelee.
Source: Mwanzo TV Plus.
My take; Hapo Kenya kwenye Katiba mpya Siasa zimeruhusiwa Makanisani
Nawatakieni Dominica Njema π
Kama Chadema na keikeikeitii πHawa jamaa wa ijumaa huwa ni wadini haswa
Usione Simba kanyeshewa mvuaUkitazama kwa undani CCM pumzi imekata.
Sasa na CDM waende makanisani ?.Usione Simba kanyeshewa mvua
Kichaa kimeanza?Kama Chadema na keikeikeitii π
Hoja zimewaishia sasa wanataka kutugawa kwa misingi ya Dini zetu.Ukitazama kwa undani CCM pumzi imekata.
Sasa Hivi Inaelekea Kudondoka Ukumbuke Vumbi Litatimka Sana Sana Watu WatapoteanaUkitazama kwa undani CCM pumzi imekata.
Unadhani hawaendi?!Sasa na CDM waende makanisani ?.
Niitie balozi mama vunja Bei ππKichaa kimeanza?