kaburunye JF-Expert Member Joined May 12, 2010 Posts 672 Reaction score 79 Jun 21, 2010 #21 funzadume said: siwezi kukupa jibu, wapi nilipopatia labda kwenye ulabu, akili zilipotea ushauri wa tabibu, kinga nilitumia Ndugu tusiwatenge wagonjwa wa UKIMWI Click to expand... Hebu acha kujikosha, ulikopata wajua ulichezea maisha, na sasa unajutia hili gonjwa linatisha, tena pia linaua kama nilivyokuusia, njoo kwa Yesu upone
funzadume said: siwezi kukupa jibu, wapi nilipopatia labda kwenye ulabu, akili zilipotea ushauri wa tabibu, kinga nilitumia Ndugu tusiwatenge wagonjwa wa UKIMWI Click to expand... Hebu acha kujikosha, ulikopata wajua ulichezea maisha, na sasa unajutia hili gonjwa linatisha, tena pia linaua kama nilivyokuusia, njoo kwa Yesu upone