Shairi la kupongeza makato mapya

Shairi la kupongeza makato mapya

Kipangaspecial

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
20,778
Reaction score
28,722
Hodi hodi naingia, uwanjani kwa kishindo
Ubaraza naufagia, machafu kuweka kando
Watu wote shangilia, taratibu ndio mwendo
Tumeyachoka makato, na gharama za mabando

Piga makofi mengi kwa mshairi wetu, ratiba inayofwata sasa ni kwenda kupata chakula tukiongozwa na mgeni rasmi katika mahafali ya mwaka huu.
 
Ongeza tozo zaidi, Madelu baba Waziri!
Usiache kuwarudi, waache vya kukariri!
Waende zao Burundi, kwani ipo hata siri?
Kipanga vipi kulia, wakati mliridhia?
 
Back
Top Bottom