Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
TWAKUITA KAKA KIBU, CHONDE TWATAKA MAJIBU
Mara upo Marekani,
Mara upo kijijini,
Mara haupo kambini,
Hatukuoni ndegeni,
Twakuita kikosini,
Sasa upo nchi gani?
TWAKUITA KAKA KIBU, CHONDE TWATAKA MAJIBU.
Maokoto, nyumba pia,
Vyote tulikupatia,
Bado umetukimbia,
Pesa hatutapokea,
Twataka we kurejea,
'baya ubwela sikia,
TWAKUITA KAKA KIBU, CHONDE TWATAKA MAJIBU.
Vipi we ukachochora,
Wasababisha hasara,
Nanenane kuna pira,
Mtani yupo imara,
CPA wanakera,
Kibu una masihara,