SHAIRI — UHURU WA KUJIELEZA

SHAIRI — UHURU WA KUJIELEZA

Joined
Sep 12, 2018
Posts
34
Reaction score
27
Mdomo unaponena, mwili huwa mashakani.
Maana hukuona, umvunjifu wa amani.
Kikaa ukanong'ona, huzidi matafshani.
Nauliza waadhwama, ni nini hasa uhuru?
 
Back
Top Bottom