G-less Antonopoulos Member Joined Sep 12, 2018 Posts 34 Reaction score 27 May 9, 2024 #1 Mdomo unaponena, mwili huwa mashakani. Maana hukuona, umvunjifu wa amani. Kikaa ukanong'ona, huzidi matafshani. Nauliza waadhwama, ni nini hasa uhuru?
Mdomo unaponena, mwili huwa mashakani. Maana hukuona, umvunjifu wa amani. Kikaa ukanong'ona, huzidi matafshani. Nauliza waadhwama, ni nini hasa uhuru?