Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,497 Reaction score 4,775 Jan 10, 2020 #1 UWANENI Uwaneni! Chinjanen! Chukianen! Amani tena ya nini?. Piganeni! Shindaneni Mwende vitani? Nawasemesha wahuni. Wamarekani! Pia Irani! Ni mashetani? Mliopo duniani Yenye amani Tatizo nini? Majukwaani Mwaharibu amani. Vingi vijembe Vya wala sembe Nyinyi mang'ombe? Ziacheni zenu bangi. Tushikaneni Tuwaueni! Kwani amani Dawa yake ni upanga?. SHAIRI-UWANENI! MTUNZI-Idd Ninga,Tengeru Arusha +255624010160 iddyallyninga@gmail.com Saluti fasihi.
UWANENI Uwaneni! Chinjanen! Chukianen! Amani tena ya nini?. Piganeni! Shindaneni Mwende vitani? Nawasemesha wahuni. Wamarekani! Pia Irani! Ni mashetani? Mliopo duniani Yenye amani Tatizo nini? Majukwaani Mwaharibu amani. Vingi vijembe Vya wala sembe Nyinyi mang'ombe? Ziacheni zenu bangi. Tushikaneni Tuwaueni! Kwani amani Dawa yake ni upanga?. SHAIRI-UWANENI! MTUNZI-Idd Ninga,Tengeru Arusha +255624010160 iddyallyninga@gmail.com Saluti fasihi.
Mo makambako Member Joined Dec 13, 2019 Posts 30 Reaction score 13 Jan 11, 2020 #2 Idd Ninga, Imetulia....nimeriply shair leefu simu imezima kabla sja send
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,497 Reaction score 4,775 Jan 11, 2020 Thread starter #3 Mo makambako said: Imetulia....nimeriply shair leefu simu imezima kabla sja send Click to expand... Utaweza lirudia tena.
Mo makambako said: Imetulia....nimeriply shair leefu simu imezima kabla sja send Click to expand... Utaweza lirudia tena.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Jan 11, 2020 #4 Waache wauwane bata,watakula mbatata! Sisi tutawaweka kwapa,watashindwa kutapa Wakikwea utata,watapata pakacha Kisu kilichowakata,daima hawatakipata.
Waache wauwane bata,watakula mbatata! Sisi tutawaweka kwapa,watashindwa kutapa Wakikwea utata,watapata pakacha Kisu kilichowakata,daima hawatakipata.
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,497 Reaction score 4,775 Jan 11, 2020 Thread starter #5 KENZY said: Waache wauwane bata,watakula mbatata! Sisi tutawaweka kwapa,watashindwa kutapa Wakikwea utata,watapata pakacha Kisu kilichowakata,daima hawatakipata. Click to expand... Kisu kilichowakata,daima hawatakipata.
KENZY said: Waache wauwane bata,watakula mbatata! Sisi tutawaweka kwapa,watashindwa kutapa Wakikwea utata,watapata pakacha Kisu kilichowakata,daima hawatakipata. Click to expand... Kisu kilichowakata,daima hawatakipata.
Sauti ya Mamlaka JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 1,601 Reaction score 2,354 Jan 12, 2020 #6 Sawa ngoja tuuane Sent using Jamii Forums mobile app