Shajara ya Madikteta

Umejitahidi kuficha, ila ukweli ni kwamba umemsema sana magufuli. Pia ww ni mdini.

Mfano dhahiri wa PhD alizozisema ndugai
 
Umejitahidi kuficha, ila ukweli ni kwamba umemsema sana magufuli. Pia ww ni mdini.

Mfano dhahiri wa PhD alizozisema ndugai
Hajatajwa kiongozi yeyote wa Tanzania humu. Vipi wewe umetumia nini kubaini kuwa wanamuongelea mwendazake ?!. Kwani mwendazake alikuwa na sifa hizo mbaya ?!.

Odhis *
 
Ndicho kilichoikuta Zaire ya Mobutu, Somalia ya Siad Bare, Libya ya Gaddafi na Misri ya Mubarak. Mfumo wa kidikteta ni hatari sana, pindi unapoanguka kila kitu kibaya na kizuri katika taifa kinaweza kusambaratika.
Tuombe yasitukute.
Ni Kichaa tu na Kafiri anaweza kuamini Gaddafi na Mubarak walikuwa madikiteta.Hawa wametolewa sadaka kwa ajili ya kulinda heshima ya Bara la Afrika.Mnatumika vibaya Lindeni utu wa Mwafrika.
 
Madikteta wote uwezo wao wa kufikiri huwa chini Sana sababu ya kudanganywa na waganga wa kienyeji kuaminishwa wavipendavyo.Wengi utokea kwenye malezi ya kifukara sana.

Ni Kichaa tu na Kafiri anaweza kuamini Gaddafi na Mubarak walikuwa madikiteta.Hawa wametolewa sadaka kwa ajili ya kulinda heshima ya Bara la Afrika.Mnatumika vibaya Lindeni utu wa Mwafrika.
Awakusoma alama za nyakati kulinda heshima zao.
 
Ni Kichaa tu na Kafiri anaweza kuamini Gaddafi na Mubarak walikuwa madikiteta.Hawa wametolewa sadaka kwa ajili ya kulinda heshima ya Bara la Afrika.Mnatumika vibaya Lindeni utu wa Mwafrika.
Naona unaleta Udini shehe
 
Tunaelekea mwaka sasa toka hii 'shajara' iandikwe....mbona bado haijakamilika ?
 
Inasikitisha sana
Madictator wote hupenda kusifiwa na kutukuzwa na wao hujua kila kitu. Hicho kisa Cha kwanza hakina tofauti Sana na nchi flani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…