Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mwandishi wa vitabu hivi haitaji kuelezwa sana kwa wasomaji wa makala zake chini ya anuani:
"Shajara ya Mwana-Mzizima," katika gazeti la Raia Mwema.
Makala zake zimeeleza historia ya Dar es Salaam kama inavyostahili mwandishi akieleza matokeo mengi ambayo si wengi walikuwa wanayajua.
Vitabu hivi viwili vimekusanya makala zake ambazo kwa hakika vitampeleka msomaji wake kuishi katika Dar es Salaam ya zamani sana ambayo si wengi wanaifahamu.