Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Kanungila,Samahani mzee wangu,
Unamjua Omary Londo?
Alikuwa ni nani maana nimeshangaa ule mtaa kuitwa jina lake lakini huyo mtu simjui?Kanungila,
Naam namfahamu Mzee Omari Londo toka udogo wangu
Mtaa wa Somali Gerezani katika miaka ya 1960.
Kanungila,Alikuwa ni nani maana nimeshangaa ule mtaa kuitwa jina lake lakini huyo mtu simjui?
Naomba historia yake fupi.
Asante
Huyu Londo wa pale mitaa ya Kariakoo auKanungila,
Omari Londo alikuwa katika wanachama shupavu wa TANU
wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.
Barikiwa sana mkuuKanungila,
Naam namfahamu Mzee Omari Londo toka udogo wangu
Mtaa wa Somali Gerezani katika miaka ya 1960.
View attachment 1113515
Mtaa huo hapo kwenye hiyo picha hapo juu zamani ukijulikana kama Somali
Street.
Katika miaka ya 1990 wakati Kitwana Selemani Kondo ni Meya wa Jiji alibadili
baadhi ya majina ya mitaa na kuipa majina ya wazalendo walioacha alama
katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
KITENDAWILI KATIKA KUTUNUKU MAJINA YA MITAA YA DAR ES SALAAM KWA WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Mtaa huo hapo kwenye hiyo picha hapo juu zamani ukijulikana kama Somali Street. Katika miaka ya 1990 wakati Kitwana Selemani Kondo ni M...mohamedsaidsalum.blogspot.com