Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Kwani yaliyosemwa ni ya uongo."Kuna watu wanasema eti Dkt. Hussein Mwinyi ameshinda kwa wizi, wanasahau kuwa CCM ni Chama kikubwa, kina mipango, uratibu unaeleweka, atambue msemaji wa hayo amehifadhiwa na kusitiriwa na Serikali ya CCM na sivinginevyo"
"Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya serikali unahudumiwa kwa kila kitu, kula tunakupa sisi, Ving'ora vya kumsafishia njia akitembea tunampa sisi, Nguo ya kuazima......1.
Tatizo lake amekaribishwa ukumbini (sebuleni) analazimisha kuingia chumbani, wanajisahau waache chokochoko, tunataka Wazanzibar waendeleze umoja na mshikamano asiyeweza akae pembeni apishe wengine "- Mwenezi wa CCM Taifa jana Zanzibar
Shida ya mzito ni mgangaa njaaZitto na ACT yake wanakumbushwa wasiropoke kuwasema mabosi wao, Zitto kule twitter anajitahidi kumpamba bosi kwa kujidai anataka siasa za majadiliano, ila huyo makamu wa kwanza wa Rais yeye hajui hilo, wataanza misuguano sasa hivi huko serikalini mwishowe hakuna watakachofanya kwa wananchi.
Hoja imekaa kisiasa zaidi."Kuna watu wanasema eti Dkt. Hussein Mwinyi ameshinda kwa wizi, wanasahau kuwa CCM ni Chama kikubwa, kina mipango, uratibu unaeleweka, atambue msemaji wa hayo amehifadhiwa na kusitiriwa na Serikali ya CCM na sivinginevyo"
"Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya serikali unahudumiwa kwa kila kitu, kula tunakupa sisi, Ving'ora vya kumsafishia njia akitembea tunampa sisi, Nguo ya kuazima......1.
Tatizo lake amekaribishwa ukumbini (sebuleni) analazimisha kuingia chumbani, wanajisahau waache chokochoko, tunataka Wazanzibar waendeleze umoja na mshikamano asiyeweza akae pembeni apishe wengine "- Mwenezi wa CCM Taifa jana Zanzibar
Kama ccm imechoka, chama gani kina nguvu?CCM kweli imechoka
Hata wapumbavu uzeeka, usikaririAngekuwepo mtu mzima kwenye hiyo nafasi angetumia hekima kubwa kujibu.
Wanasema ni mboga safi tuHaka kajamaa nasikia tiamaji tiamaji.
Naona "kanamchamba" Makamu1
Hussein Bora angeshinda kwa wizi tu. Lakini alichofanya yeye na Jiwe Mungu hatamuacha."Kuna watu wanasema eti Dkt. Hussein Mwinyi ameshinda kwa wizi, wanasahau kuwa CCM ni Chama kikubwa, kina mipango, uratibu unaeleweka, atambue msemaji wa hayo amehifadhiwa na kusitiriwa na Serikali ya CCM na sivinginevyo"
"Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya serikali unahudumiwa kwa kila kitu, kula tunakupa sisi, Ving'ora vya kumsafishia njia akitembea tunampa sisi, Nguo ya kuazima......1.
Tatizo lake amekaribishwa ukumbini (sebuleni) analazimisha kuingia chumbani, wanajisahau waache chokochoko, tunataka Wazanzibar waendeleze umoja na mshikamano asiyeweza akae pembeni apishe wengine "- Mwenezi wa CCM Taifa jana Zanzibar
Meya wa Mji wa Morogoro anakukumbuka"Kuna watu wanasema eti Dkt. Hussein Mwinyi ameshinda kwa wizi, wanasahau kuwa CCM ni Chama kikubwa, kina mipango, uratibu unaeleweka, atambue msemaji wa hayo amehifadhiwa na kusitiriwa na Serikali ya CCM na sivinginevyo"
"Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya serikali unahudumiwa kwa kila kitu, kula tunakupa sisi, Ving'ora vya kumsafishia njia akitembea tunampa sisi, Nguo ya kuazima......1.
Tatizo lake amekaribishwa ukumbini (sebuleni) analazimisha kuingia chumbani, wanajisahau waache chokochoko, tunataka Wazanzibar waendeleze umoja na mshikamano asiyeweza akae pembeni apishe wengine "- Mwenezi wa CCM Taifa jana Zanzibar
huyo mwinyi anajali?Kumbe wale masheikh walikuwa sahihi kwa kauli ya Shaka.
Mwinyi anakazi kimahusiano kwa utaratibu wakuropoka kwa Shaka.
Ni mwenezi wakubomoa Zanzibar,anatonesha vidonda vya nyuma.
Awepo mwenezi Zanzibar na
Bara awepo mwenezi
Tuache uhuni wakuchonganisha viongozi wa kitaifa.