Shaka amvaa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar; "Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya Serikali unahudumiwa kwa kila kitu''

Una akili ya kuku wewe?
 
Hata wanaopata stahiki zao kwa mujibu wa katiba nao wanasimsngwa kumbe
 
......."Tatizo lake amekaribishwa ukumbini, analazimisha kuingia chumbani"....
Na hayo ndiyo maneno ya Katibu Mwenezi wa CCM Taifa!!!
Katika mazingira haya, ACT Wazalendo iunge mkono juhudi za Kupata Katiba Mpya ili Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, iwe kweli ya pamoja.
Siku zote mimi ninaamini kuwa, juhudi za kupata Katiba Mpya, zitazaa matunda mapema kama zitaanzia Zanzibar, tena ndani ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Huko Zanzibar, angalau Wapinzani wamekaribishwa Sebuleni kwa mikono miwili.
Kwa upande wa Tanzania Bara, mahali pekee CCM inapowakaribisha Wapinzani kwa mikono miwili, ni mahabusu za Jeshi la Polisi tu !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…