Shaka apokelewa Igunga kwa nderemo na vifijo

Mpekuzi Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Posts
650
Reaction score
1,016
SHAKA APOKELEWA IGUNGA KWA NDELEMO NA VIFIJO.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka H. Shaka (MNEC) akiwa ameambatana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Gilbert Kalima (MNEC) wameanza ziara ya kikazi Wilaya ya Igunga kwa ajili ya kufuatilia utekekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya Mwaka 2020 - 2025.

Nd. Shaka H. Shaka (MNEC) na Ndg. Gilbert Kalima (MNEC) wamepokelewa na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Mbunge wa Jimbo la Manonga Mhe. Seif K. Gulamali, Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Waheshimiwa Madiwani, Makamisaa wa Chama, Makada, Wanachama wa CCM na Wananchi.

 
hawa si wavaa kijani, sasa hapo nderemo si lazima. wao kila kitu ni nderemo hata ktk hili la utitiri wa tozo za kikatili
 
Hapo kajichubua kama dada yake na defao,ccm jinsia tata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…