SHAKA: Atetema na Kunyunyiza Tabora wafuasi wa CHADEMA washindwa kujizuia waunga msafara

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Tabora wanafuraha sana kumuona Katibu Mwenezi ndg. Shaka Hamdu Shaka mapokezi ni Makubwa sana hata Freeman Mbowe hapokelewi kwa shangwe hivi pale Hai kwao pamoja kuwa ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Kweli CCM chama kubwa mkubali hapo kaja Mwenezi tu Hali ipo hivyo.

Hivi CHADEMA Mwenezi wa Chama ni nani? Maana Chama kimepotea mara baada ya CCM kumpa uskani 'PUTIN" Shaka Hamdu Shaka hakika anaitendea haki nafasi ya Uenezi.
IMG-20220816-WA0123(1).jpg
IMG-20220816-WA0125(1).jpg
IMG-20220816-WA0120(2).jpg
IMG-20220816-WA0126(2).jpg
IMG-20220816-WA0124(1).jpg
IMG-20220816-WA0121(2).jpg
IMG-20220816-WA0119(1).jpg
IMG-20220816-WA0116(1).jpg
IMG-20220816-WA0117(1).jpg
IMG-20220816-WA0115(1).jpg
IMG-20220817-WA0009(1).jpg
IMG-20220817-WA0007(1).jpg
 
Tabora wanafuraha sana kumuona Katibu Mwenezi ndg. Shaka Hamdu Shaka mapokezi ni Makubwa...
SHAKA Picha za Rais zinazagaa viwanjani kwenye mikutano zinafanya nini?

JPM watu hawakubeba picha zake ila alikubalika, sasa hii njia ya kuzururisha picha ni aibu.
Kixuri kinajiuza chenyewe sio lazima picha kila kona.

Pia ukumbuke kuwa huyu mama hata kwao unguja hakubaliki.
 
Hahaha naona wazee wanamsukuma akiwa ndani ya gari

Ova
 
Napata taabu sana kuelewa binadamu mwenye jinsi ya "me" anakuwaje chawa!!?
Je, ni umasikini uliopitiza wa kipato na akili!!??
 
Hivi hii mikutano ya hadhara CCM mmeruhusiwa na nani na kwanini mnawazuia wengine wasiifanye?

Na hao wapinzani wataendelea kulala mpaka lini? wenzao wanajitangaza huko mikoani wao wanasubiri kupewa ruhusa toka kwenye mazungumzo ya maridhiano yasiyoeleweka yanayoendelea, hivi hawaoni kwamba wanachezewa akili hapa?

Mtu mwenye akili timamu huwezi kumsubiri mtu akupe ruhusa ya kula ugali ukiwa na njaa wakati unajua kabisa ukizubaa utakufa kwa njaa, waamke sasa.
 
Tabora wanafuraha sana kumuona Katibu Mwenezi ndg. Shaka Hamdu Shaka mapokezi ni Makubwa sana hata Freeman Mbowe hapokelewi kwa shangwe hivi pale Hai kwao pamoja kuwa ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Kweli CCM chama kubwa mkubali hapo kaja Mwenezi tu Hali ipo hivyo.

Hivi CHADEMA Mwenezi wa Chama ni nani? Maana Chama kimepotea mara baada ya CCM kumpa uskani 'PUTIN" Shaka Hamdu Shaka hakika anaitendea haki nafasi ya Uenezi.
View attachment 2326009View attachment 2326010View attachment 2326011View attachment 2326012View attachment 2326013View attachment 2326014View attachment 2326015View attachment 2326016View attachment 2326017View attachment 2326018View attachment 2326019View attachment 2326020Macho yake yanajieleza, tulia umuangalie vizuri
 
Hivi hii mikutano ya hadhara CCM mmeruhusiwa na nani na kwanini mnawazuia wengine wasiifanye?

Na hao wapinzani wataendelea kulala mpaka lini? wenzao wanajitangaza huko mikoani wao wanasubiri kupewa ruhusa toka kwenye mazungumzo ya maridhiano yasiyoeleweka yanayoendelea, hivi hawaoni kwamba wanachezewa akili hapa?

Mtu mwenye akili timamu huwezi kumsubiri mtu akupe ruhusa ya kula ugali ukiwa na njaa wakati unajua kabisa ukizubaa utakufa kwa njaa, waamke sasa.
Huwa nakuelewa sana hoja zako kaka

Ila tu nikwambia unaamsha waliolala kwa makusudi

Wapinzani nchi hii ni wafanya kaz maalum wa CCM ukubal au ukatae

Hakuna cha Chadema,AcT,Cuf,Nccr n.k wote wanalingana tofauti yao kuna wengne wanajua maigizo vizur yaan wanajua kubalance mambo

Ili wasionekane kama wapo pamoja na CCM.
 
Inawezekana sana maana kila ukiangalia misala wanayofanyiwa wapinzani wanaikubali tu hivihivi! Covid 19, vifo Zenj, matokeo 2015! Hata kama ni katiba mbovu haki ya mtu lazima aipate akiwa hai au mfu! Pamoja na kudai katiba mpya upinzani ungekuwa umeshaanza mchakato wa kushinda 2025 kwa sasa tena hata wagombea kina LISU wajulikane wazi wazi.
 
Mwanamume mzima utajipakaaje kalolaiti😂🤣just jockin haha.
 
Inawezekana sana maana kila ukiangalia misala wanayofanyiwa wapinzani wanaikubali tu hivihivi! Covid 19, vifo Zenj, matokeo 2015! Hata kama ni katiba mbovu haki ya mtu lazima aipate akiwa hai au mfu! Pamoja na kudai katiba mpya upinzani ungekuwa umeshaanza mchakato wa kushinda 2025 kwa sasa tena hata wagombea kina LISU wajulikane wazi wazi.
Katika suala linalonipaka uhakika wa rangi halisi za wapinzani wetu ni zuio la mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa

Yaan wametulia tuuuli bila shida hii inaonesha wanakubaliana na hlo zuio zngine huwa mbwembwe tu.
 
Back
Top Bottom