Tatzo ni kwamba hao wenyewe hapo na ndgu zao wanauhitaji wa hyo mikopo na si maskini waache ndugu na wanao wafahamu wawape masikini.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
ila nafikiri Safari hii wanafunzi wengi watachelewa kuripoti...
 
Good boss, Shaka amekuwa mtulivu sana na mtu mfikiri masikini wakati wote,

Hongera Crde Shaka
 
Kwanza wazazi wenye pesa ndio walipa kodi. Mkopo ni haki ya kila mwanafunzi wa elimu ya juu.
 
Hapa ndio wengi hukosea. Kigezo cha kutompa mtu mkopo kisiwe alisomaje huko nyuma bali kama kwa sasa damilia yake inajiweza kumsomesha.

Imagine una baba director wa kampuni kubwa kwa miaka mingi. Ina maana shule utakazosoma zitakuwa ghali. Now imagine same baba akaugua kwa muda mrefu mkatumia resources kumuuguza mpaka kupona, then akawa hawezi tena kufanya ile kazi.

Kumnyima mkopo mtoto itakuwa ni kumwonea. Kama ambavyo mtoto amesoma kayumba kwa sababu mzee alikuwa anatafuta ilq by the time anaingia chuo baba ni alwatan bilionea. Huyo anapaswa kuwa chini kwenye priority regardless ya historia
 
Kama vile aliendatu kupiga nao picha maana wanadai hawaendeshwi na CCM wao nitaasisi huru.
 
Maboss hao wa mikopo wamenonaa kweri kweri

Ova
 
Ameenda kuuliza kwann UVCCM hawajawekewa boom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…