Ziara ya Katibu wa siasa na Uenezi CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amekabidhiwa vifaa mbalimbali vya CHADEMA zikiwemo Kadi, flana, kofia pamoja na bendera sababu kubwa ikiwa wananchi wa kuseni wamemuelewa Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuwatumikia wananchi kwa kipindi hiki kifupi cha utawala wake.
" Sijawahi kuona Rais kama mama Samia kwa Muda mfupi tumeshudia Mabadiriko makubwa mfano sisi Wakulima wa korosho tumepata pembejeo kwa wakati bila kuwa la longolongo hakika Mama anaupiga mwingi kweli kweli" - Bakari Chalinginji Madereko Mkazi wa Ruangwa