Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 270
- 362
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema, "CCM haijawahi kuhofia kuondoka madarakani kwa sababu ya marekebisho ya katiba tunaamini jambo hilo haliwezi kutokea, sababu kazi tunaifanya nzuri kwa wananchi na imani ya Watanzania kwa CCM ni kubwa Sana"..
Ukisoma uzi wangu wa mwisho kabla ya huu utaona nilisema maneno gani. Niliposti uzi wangu kabla ya kuona Press ya Shaka. Pengine nina kijiubanii nianze kujichunguza. Kazi mnayo UFIPA.