Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema, "CCM haijawahi kuhofia kuondoka madarakani kwa sababu ya marekebisho ya katiba tunaamini jambo hilo haliwezi kutokea, sababu kazi tunaifanya nzuri kwa wananchi na imani ya Watanzania kwa CCM ni kubwa Sana"..