Shaka: CCM haitoachia madaraka abadani

Shaka: CCM haitoachia madaraka abadani

Hizo ni kauli za wanasiasa waliojawa jeuri, kiburi na roho mbaya......matendo yao machafu yaliyokithiri yamepofusha macho na fikra zao......wanawaona binadamu wenzao kama ng'ombe..........

Wahenga wanasema kuwa ngoma ikivuma haikawiii kupasuka hivyo basi kwa kiburi na jeuri hii ni wazi kuwa anguko la CCM liko karibu......na anguko halitaletwa na wanasiasa bali wananchi wenyewe ambao wamechoshwa na madhila wanayotendewa......
 
"...CCM haitoachia madaraka abadani na kwalo sisi mtaji wa kuendelea kukaa madarakani tunao kwa sababu huwa tunajiandaa mapema."

Shaka.
CCM ni Chama Cha Mapinduzi. Kilifanya Mapinduzi,

Hakiwezi kuiachia madaraka Hasa ya urais Kwa DEMOKRASIA.

Ili liondoke sharti KIPINDULIWE au KIJIPINDUE, kizidiwe nguvu, chama Dola.

Bt hayo yatatimia. Tusubiri.
 
"...CCM haitoachia madaraka abadani na kwalo sisi mtaji wa kuendelea kukaa madarakani tunao kwa sababu huwa tunajiandaa mapema."

Shaka.
CCM itajiua 2026 Ili kizaliwe chama kingine kipya.

Ameeen.
 
Back
Top Bottom