Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amekutana na kufanya mazungumzo na kundi la Jamii Mpya linalojishughulisha na uhamasishaji wa vijana na wanawake katika masuala ya uzalendo, uwajibikaji, ubunifu na kuwajengea uwezo wa kuchangamkia fursa mbalimbali za kiuchumi zilizopo hapa nchini.
Mazungumzo yaliyofanyika katika ofisi ndogo ya CCM lumumba, Jumatano 01 Septemba, 2021.
Sawa, hiyo Jamii Mpya inahusisha watch gani? Kwanini wakutane ofisi za chama? Inahusisha wasio wanachama wa chama walipokutanika? Fursa zipi na uwezo utapimwaje?
Sawa, hiyo Jamii Mpya inahusisha watch gani? Kwanini wakutane ofisi za chama? Inahusisha wasio wanachama wa chama walipokutanika? Fursa zipi na uwezo utapimwaje?
Haa haa just haa haa
Kikwete HARI MPYA:
Magufuli: CCM MPYA:
Samia : JAMII MPYA:
Hamna kitu hapo wanamaliza maneno tu, ni Green Guard hao.
Shaka aache janja janja aonyeshe TOZO kwenye hiyo ILANI ya Chama Cha MAGAIDI = CCM