saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
SHAKA HAMDU SHAKA, Mwenezi Mstaafu wa CCM ametupwa nje ya nafasi hiyo na kupewa Mwana Mama Sophia Mjema.
Shaka alikosea nini hadi akatupwa nje ya tuliambiwa mwanzo yeye ni kipenzi sana cha Mama Samia.
Tunaofahamu Makosa ya Shaka hebu tusaidiane tupate uelewa. Maana Katibu Mkuu Chongolo yeye amebaki maana yake hana matatizo kwenye nafasi yake, Shaka matatizo yake ni yapi?