Muonekano wake unatia shaka shaka.Ana kashfa ya Rushwa
Alishawahi kuwa waziri wa wizara gani maana me nilikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu kidogo.Shaka ameporomoka Sana ingekua Mimi ningejiunga na chadema. Kutoka ngazi ya uwaziri Hadi ukuu wa wilaya....
wa kujichubua au?Muonekano wake unatia shaka shaka.
Analilia rangi ya kikewa kujichubua au?
weupe sio rangi ya kike mkuu tuombe radhi.Analilia rangi ya kike
Rushwa ya ngono? au Pesa?
SHAKA HAMDU SHAKA, Mwenezi Mstaafu wa CCM ametupwa nje ya nafasi hiyo na kupewa Mwana Mama Sophia Mjema.
Shaka alikosea nini hadi akatupwa nje ya tuliambiwa mwanzo yeye ni kipenzi sana cha Mama Samia.
Tunaofahamu Makosa ya Shaka hebu tusaidiane tupate uelewa. Maana Katibu Mkuu Chongolo yeye amebaki maana yake hana matatizo kwenye nafasi yake, Shaka matatizo yake ni yapi?
Kama unataka kutupiwa majini jimixMvi katika uteuzi kumbe mzanzibari anaweza kuteuliwa kushika madaraka ya mkuu wa mkoa/wilaya Tanzania bara? Je Hili nalo linawekana kwa upande waTanzania Zanzibar?
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Kwamba kila kilicho kuwa rejected na Magu kitakua rejected na kila mtu.Alishatolewa na Magu ikaonekana kaonewa. Kiko wapi?