Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Achana na hizo Vita za kisiasa mdogo wanguHuyu mbwiga yeye karudisha zile milioni 200 za Abood alizochukua wakati wa kupitisha jina lake pale morogoro
Ana kitu ndani yake cha kuvuka mipaka ya kazi yake, hayo mambo ya serikali yeye yanamuhusu nini? kwani serikali haina watu wake wakufanya hiyo kazi ya ufuatiliaji wa miradi yake?Shaka Hamdu Shaka
Mimi ni CHADEMA ila nimekuwa nafuatilia kazi zake naona anakitu ndani yake...
We ndio hujui sasa, na wala hujataka kufuatilia ujue kwanini Jiwe alimfukuza na alikua amfute uanachama kabisa, shangazi yake samia kamuokota huko alikokua ametupwa.Achana na hizo Vita za kisiasa mdogo wangu,...
Daaah kumbe ni fitana za jiwe?we ndio hujui sasa , na wala hujataka kufuatilia ujue kwanini Jiwe alimfukuza na alikua amfute uanachama kabisa , shangazi yake samia kamuokota huko alikokua ametupwa
Ana kitu ndani yake cha kuvuka mipaka ya kazi yake, hayo mambo ya serikali yeye yanamuhusu nini? kwani serikali haina watu wake wakufanya hiyo kazi ya ufuatiliaji wa miradi yake?
Chama na serikali sio kitu kimoja. Huyo Shaka anatakiwa afuatilie mali za CCM walizopora kwa wananchi enzi za chama kimoja.Chama ni baba wa Serikali,
Mengine kajisomee
Mkuu wewe unatatizo la uelewa tuChama na serikali sio kitu kimoja. Huyo Shaka anatakiwa afuatilie mali za CCM walizopora kwa wananchi enzi za chama kimoja.
Unaoushahidi mkuu au ndio kudemka tuHuyu mbwiga yeye karudisha zile milioni 200 za Abood alizochukua wakati wa kupitisha jina lake pale Morogoro
Shaka ni mtu na nusu, CCM hapa imelamba dume kwelikweli,Shaka Hamdu Shaka
Mimi ni CHADEMA ila nimekuwa nafuatilia kazi zake naona anakitu ndani yake...
Wewe ni muongo, Shaka nimchamungu sana, acha kutafuta laana ndgWe ndio hujui sasa, na wala hujataka kufuatilia ujue kwanini Jiwe alimfukuza na alikua amfute uanachama kabisa, shangazi yake samia kamuokota huko alikokua ametupwa
Umeongea kweliShaka Hamdu Shaka
Mimi ni CHADEMA ila nimekuwa nafuatilia kazi zake naona anakitu ndani yake
Nimtu anasimama na wananchi wakati wote kama Mwl Nyerere alivyokuwa
Nataka hao wanaotafuna kodi zetu wakamatwe na sheria ifanye yake
Uzalendo kama Uzalendo unahitajika kwenye miradi ya SerikaliKatibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ameitaka Serikali Wilayani ya Bukoba kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalamu na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara Serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale uliopo tarafa ya Bugabo.
Akiwa katika Ziara ya Sekretarieti ya CCM-Taifa inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndg Daniel Chongolo amesema mradi huo wa Katale uliopo halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera ulitekelezwa chini ya kampuni ya ujenzi ya STC ambao hata hivyo hautoi maji miaka miwili tangu kukamilika kwake na kukabidhiwa.
View attachment 2010994
Ukisikia tu MTU anaanza kwa kusema Mimi ni CHADEMA ujue hamna kitu humor, ni sawa na kusema Mimi ni Mwanaume, kama ni Mwanaume kweli sisi tutakujua tu? Why ujitangaze??Shaka Hamdu Shaka
Mimi ni CHADEMA ila nimekuwa nafuatilia kazi zake naona anakitu ndani yake
Nimtu anasimama na wananchi wakati wote kama Mwl Nyerere alivyokuwa
Nataka hao wanaotafuna kodi zetu wakamatwe na sheria ifanye yake
Kunamchamungu CCM? We una laana ya kumchungulia bibi yako chooni.Wewe ni muongo, Shaka nimchamungu sana, acha kutafuta laana ndg
wapo wengi sana,Kunamchamungu CCM? We una laana ya kumchungulia bibi yako chooni.