Shaka Hamdu Shaka ataka walioisababishia Serikali hasara ya TZS 0.59BL watafutwe

Shaka Hamdu Shaka

Mimi ni CHADEMA ila nimekuwa nafuatilia kazi zake naona anakitu ndani yake

Nimtu anasimama na wananchi wakati wote kama Mwl Nyerere alivyokuwa

Nataka hao wanaotafuna kodi zetu wakamatwe na sheria ifanye yake
Umeeleweka sana zaidi mkuu,
 
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Abood anamuhongaje Shaka wakati hana mpinzani?
 
Huyu mbwiga yeye karudisha zile milioni 200 za Abood alizochukua wakati wa kupitisha jina lake pale Morogoro
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Shaka Hamdu Shaka

Mimi ni CHADEMA ila nimekuwa nafuatilia kazi zake naona anakitu ndani yake

Nimtu anasimama na wananchi wakati wote kama Mwl Nyerere alivyokuwa

Nataka hao wanaotafuna kodi zetu wakamatwe na sheria ifanye yake
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania,

#Endeleeni kumsapoti Mama,
 
kiki mbaya sana
kiki kwa kwenda mbele

kaona waenezi wastaafu Nape na Polepole wako kwenye headlines kuliko Mwenezi aliyekalia kiti, kaona nae ajitutumue.

Magu alisema hiki kijamaa kifisadi, Samia kaja kampa madaraka. Najiuliza, kwa nini Vice President hakuwa na uwezo hata kumnong'oneza Rais kwamba hiki kijana sio kijizi, nakijua, mimi shangazi yake.

Tufute nafasi ya Vice President, haina maana yeyote, inatugharimu bure.
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Huyu mbwiga yeye karudisha zile milioni 200 za Abood alizochukua wakati wa kupitisha jina lake pale Morogoro
CCM hamnaga msafi mle kila mtu ni mpiga dili😅 yani ukijichanganya tu watu wanafukua mafolder 😂
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
Angestahilia miaka ya mapumziko 15 kwao zenji huko sio magogoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…