Shaka Hamdu Shaka atoa kongole kwa Rais Samia kwa kuongeza mishara kwa Rate ya juu kuliko nchi zote duniani

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466

CCM yampa ‘tano’ Samia kuongeza mishahara, kikokotoo​

ccm pic

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka akiwa katika jengo la mtambo wa kuzalisha gesi kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa wa Manyara mjini Babati.

===​

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia ongezeko la mishahara kikiwemo kima cha chini kwa asilimia 23.3 na kupandishwa kwa malipo ya mkupuo ya pensheni kwa wastaafu.

Nyongeza hiyo ya mishahara imekuja baada ya watumishi kuisubiri tangu mwaka 2015.

Katika sherehe za Mei mosi mwaka huu zilizofanyika jijini Dodoma, Rais Samia aliwahakikishia wafanyakazi kuongeza mishahara na jana, Mei 14, 2022, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu ilisema Rais Samia ameridhia mapendekezo ya kuongeza mishahara.

Kutokana na ongezeko hilo, Serikali imepanga kutumia Sh9.7 trilioni katika mwaka wa fedha 2022/23 kugharamia mishahara ya wafanyakazi.

Leo, Jumapili Mei 15, 2022 taarifa iliyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu Taifa, Itikadi na Uenezi wa (CCM), Shaka Hamdu Shaka imesema hatua hiyo ni mwendelezo wa hatua kadhaa zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali kwa lengo la kuboresha maslahi na stahiki za wafanyakazi nchini.

“Uamuzi wa kupandisha mishahara, ikiwa ni pamoja na kima cha chini kwa watumishi wa umma kwa asilimia 23.3 umefanyika kwa kuzingatia taratibu za mwenendo wa uchumi, pia ule wa kuelekeza kukamilishwa kwa taratibu za kisheria kuhakikisha malipo ya mkupuo ya wastaafu yanapandishwa kutoka asilimia 25 hadi asilimia 33,” imesema taarifa hiyo ya CCM ya kumpongeza Rais Samia na kuongeza:

“Tayari Serikali ilishapunguza kodi ya mapato katika mishahara ya wafanyakazi (PAYE) kutoka asilimia 9 hadi 8, kufuta tozo ya kulinda thamani ya mkopo ya asilimia 6 (Value Retention Fee) kwa wanufaika wa mikopo elimu ya juu wakati wa marejesho na upandishwaji wa madaraja kwa kuzingatia miundo ya utumishi wa kada mbalimbali”.

Taarifa hiyo imesema hatua hizo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 -2025, ibara ya 130, ukurasa wa 180-181.

“Utekelezaji wake umedhihirisha jinsi Rais Samia alivyo kiongozi msikivu, anayejali wananchi wake, muungwana wa vitendo na zaidi yuko imara kuhakikisha Serikali ya CCM anayoiongoza, inaendelea kuwa tumaini la watu kwa kugusa maisha yao kwa namna chanya,” imesema taarifa hiyo.

Pamoja na hayo, chama hicho kimetoa wito kwa wafanyakazi nchini kuendelea kuiunga mkono Serikali, kushikamana, kufanya kazi kwa bidii, uzalendo na weledi ili kuleta tija zaidi katika maendeleo ya nchi yetu.

Katika hatua nyingine, Shaka amezitaka taasisi za umma zenye miradi mikubwa ya maendeleo kuwa na bajeti maalumu ya kuhudumia miradi hiyo.

Amesema hayo leo alipotembelea hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Manyara mjini Babati.

“Nitoe wito kuwe na bajeti maalumu ya kuhudumia miradi hii yenye thamani kubwa ili kuilinda,” amesema Shaka.

Shaka ametembelea mtambo wa kuzalisha gesi hospitalini hapo ambapo aliambiwa kuna changamoto kadhaa ikiwa ni pamoja na udhaifu wa jengo, kukatika kwa umeme kulikosababisha baadhi ya vifaa vya mtambo huo kuungua.

“Wizara husika zihakikishe zinajenga majengo yanayoendana na hadhi ya mitambo,” amesema Shaka ambaye yuko katika ziara ya kujitambulisha kama mlezi wa chama wa mkoa huo.

“Tunampongeza Rais kwa kutekeleza vema ilani ya uchaguzi... ukisoma ilani ya uchaguzi kifungu G ibara ya 83 inaeleza kuimarisha hospitali 28 nchini kuwa za rufaa na hii ni miongoni mwao,” amesema.

Mpaka naandika makala hii Tanzania ndio nchi iliyoongeza mishahara kima cha chini kikukwa kuliko nchi yeyote Duniani, Hongera Sana Mama, Asante Mama,
 
Hahaha mwanangu atake asitake lazima aisome hesabu na kuielewa.
Hii aibu sitaki mie.
 
Aliyesema hesabu ni janga la taifa, hakukosea. Do your homework properly. Kiuhalisia, Kenyatta aliyeongeza 12% Kwa Kila point ya mshahara, ameongeza kiasi kikubwa kwenye net income kuliko hiyo 23.3% inayosemekana imeongezeka kwenye kina Cha ching.
Duuh
 
Seriously, hakuna nchi imepandisha mishahara kwa 23.3%
 
Ivi mishahara ameongeza samia au serikali bado sijaelewa
 
Shaka Hamdu Shaka anaingia mtego mbaya wa kisiasa.
Kia kukicha yeye ni kumsifi mama Samia , wrong strategy.
ama amefanua mambo mzuri, wananchi ndio wanatakiwa kumsifia si CHAMA on a daily basis.

Kitakachotokea ni huyu Shaka kuonekana kuwa a "poodle", kambwa kanako tikisa mkia kila kakiona Mama yake!
 
Back
Top Bottom