Shaka Hamdu Shaka azuru kaburi la Hayati Mkapa Lupaso

Shaka Hamdu Shaka azuru kaburi la Hayati Mkapa Lupaso

OffOnline

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
644
Reaction score
478
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndg. Shaka Hamdu Shaka ametoa heshima kwenye kaburi la Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa huko Lupaso.

Mhe Shaka Hamdu Shaka yuko mkoani Mtwara kwa ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya 2020|25.

IMG-20220604-WA0017.jpg
IMG-20220604-WA0018.jpg
 
RiP BWM huyu ndio sliofanya Tanzania ya mifumo imara uwepo hata sasa unaona nchi imesimana inajielewa kusanyakodi na ajira ....sekta zote ....kabla huyu bwana nchi ilikuwa vurugu watu wanazamia kila siku kwenda ulaya mara SA baada 1999 hali ukibadilika sanaa....
 
ccm hawa wana mabilioni ya mbinu,hapo sasa wanataka kufuta ule msemo wa yule mzee marope kuwapoza wajane na wafuasi wa mahayati walaiotangulia.
 
Back
Top Bottom