Ze Bulldozer
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 1,070
- 568
CHADEMA NYIE NI WATU WABAYA SANA KWA USTAWI WA TAIFA HILI,Si kamati ya Prof.Osoro ilionyesha madudu ya mikataba ile irrespective ya inflated figures. Lakini sijaona mpka leo mwana CCM aliyekamatwa. Afu ghafla mnadai uhuru uuzwe na CHADEMA?
Are you insane?
Kwenye rushwa ya kumpata meya wa morogoro mjinimmm mbona jamaa anatema madini huyu walimpata wapi
Huyu ndg ni tunu kwa Taifa letu, Anamaono na weledi mkubwa kwenye uongoziIla jamaa anaongea kizalendo sana aise, Kweli CCM kuna viongozi wamfano
Watakuja mbio 🤣🤣🤣🤣CHADEMA NYIE NI WATU WABAYA SANA KWA USTAWI WA TAIFA HILI,
Sijawahi kujuta kukufutilia Shaka, Mungu akupe maisha marefu==
"Kazi ya kulinda tunu ya uhuru na Mapinduzi matukufu ya Zanzibar ni jukumu la kufa na kupona kwa kila mzalendo kwani fatiki ya kupigania uhuru imepoteza maisha na mali za watu, nguvu na jasho jingi" Shaka Mwenezi Taifa
"Urithi wa Uhuru unapaswa kuthaminiwa na watanzania wote ambao ni warithi halali bila kutazama rangi za watu wake, asili zao, makabila au imani za dini zao" Shaka Mwenezi Taifa
"Haikuwa kazi nyepesi na rahisi kwa viongozi walioasisi mapambano ya kupigania uhuru kinadharia na vitendo hivyo itakuwa kituko endapo matunda ya uhuru itashindikana kulindwa au kutetewa" Shaka Mwenezi Taifa
"Wakati Taifa likielekea kuadhimisha miaka 60 ya uhuru wa uliopatikana disemba 9 mwaka 1961 kwa iliokuwa tanganyika, kazi muhimu inayotakiwa kutekelezwa ni kuhakikisha uhuru huo unabaki kwa manufaa toka kizazi kimoja hadi kingine" Shaka Mwenezi Taifa
"Iwapo atatokea mtu yeyote atakayeridhia kuwa kibaraka toka miongoni au kuwapigia magoti maadui wa uhuru lazima asutwe na kumulikwa kwa macho yote mawili" Shaka Mwenezi Taifa
"Kutoweka kwa uhuru wetu ni kuhatarisha maisha na ustawi kwa kila mmoja wetu. Kupoteza uhuru ni kazi rahisi lakini ikumbukwe jukumu la kupigania uhuru limegharimu na kupoteza maisha ya babu na bibi zetu hadi kizazi hiki wakaikuta nchi ikijitawala" Shaka Mwenezi Taifa
"Uamuzi wa kuunda taifa jipya la Tanzania ambalo halikuachwa na wakoloni ieleweke haikuwa kwa njia ya mkato badala yake waasisi wa Muungano walipitisha maamuzi magumu kwa muktadha wa kupigania maslahi ya kizazi hiki na vijavyo" Shaka Mwenezi Taifa
"Ikitokea kuwa na dalili za uhuru wetu kutaka kuwekwa rehani na sisi tukikaa kimya tusishangae makaburi ya wasisi wetu yatakapotetemeka. Watanzania wasiwe tayari kuona uhuru wao ukiporwa" Shaka Mwenezi Taifa
"Kila mmoja wetu ajione ana kazi ya kulinda uhuru ili usinyakuliwe hivyo mnalo jukumu la kuhakikisha mnatunza na kueneza machapisho ya historia ya nchi yetu" Shaka Mwenezi Taifa
"Wapo watu hawafurahi na kupendezwa kutuona tukijiongoza kwa kufuata matakwa ya sera zetu. Watu hao hawataacha vituko badala yake wataendeleza maneno maneno hadi pale watakapotuona tukigawanyika na kupoteza nguvu ya mshikamano wetu" Shaka Mwenezi Taifa
Niwahakikishie wakati tukiadhimisha miaka 60 Serikali ya Rais Samia ataendelea, kuondosha vikwazo vyote ambavyo vinakwamisha utendaji wenu ikiwa ni utekelezaji wa ibara ya 80 (b)ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025" Shaka Mwenezi Taifa
HIZI NI NASAHA YAKINIFU ZA KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA ITIKADI NA UENEZI SHAKA HAMDU SHAKA WAKATI AKIONGEA NA WAANDISHI NA WACHAPISHAJI VITABU LEO 01|12|2021
View attachment 2029646
Hata wewe mbona unakula tu shida iko wapi?Huyu mla rushwa naye hana issue
Mkuu nakuamini sanaSIEMPRE JMT🙏
UHURU MILELE 🙏
Shukran mkuu wangu🙏Mkuu nakuamini sana
Unatisha chief wangu,Shukran mkuu wangu🙏
Tuko pamoja kaka👍
Ndio Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi CCM TanzaniaNdo nani..!
mkuuSIEMPRE JMT🙏
UHURU MILELE 🙏
Muongo Sna yule mtuSi JPM alidai hyu dogo ni fisadi leo hii kawa mzalendo?
Kipindi Yupo UVCCM ali achieve nini? This chap is overrated.
Haha ndio penyewe yaani Mhe Shaka,==
"Kazi ya kulinda tunu ya uhuru na Mapinduzi matukufu ya Zanzibar ni jukumu la kufa na kupona kwa kila mzalendo kwani fatiki ya kupigania uhuru imepoteza maisha na mali za watu, nguvu na jasho jingi" Shaka Mwenezi Taifa
"Urithi wa Uhuru unapaswa kuthaminiwa na watanzania wote ambao ni warithi halali bila kutazama rangi za watu wake, asili zao, makabila au imani za dini zao" Shaka Mwenezi Taifa
"Haikuwa kazi nyepesi na rahisi kwa viongozi walioasisi mapambano ya kupigania uhuru kinadharia na vitendo hivyo itakuwa kituko endapo matunda ya uhuru itashindikana kulindwa au kutetewa" Shaka Mwenezi Taifa
"Wakati Taifa likielekea kuadhimisha miaka 60 ya uhuru wa uliopatikana disemba 9 mwaka 1961 kwa iliokuwa tanganyika, kazi muhimu inayotakiwa kutekelezwa ni kuhakikisha uhuru huo unabaki kwa manufaa toka kizazi kimoja hadi kingine" Shaka Mwenezi Taifa
"Iwapo atatokea mtu yeyote atakayeridhia kuwa kibaraka toka miongoni au kuwapigia magoti maadui wa uhuru lazima asutwe na kumulikwa kwa macho yote mawili" Shaka Mwenezi Taifa
"Kutoweka kwa uhuru wetu ni kuhatarisha maisha na ustawi kwa kila mmoja wetu. Kupoteza uhuru ni kazi rahisi lakini ikumbukwe jukumu la kupigania uhuru limegharimu na kupoteza maisha ya babu na bibi zetu hadi kizazi hiki wakaikuta nchi ikijitawala" Shaka Mwenezi Taifa
"Uamuzi wa kuunda taifa jipya la Tanzania ambalo halikuachwa na wakoloni ieleweke haikuwa kwa njia ya mkato badala yake waasisi wa Muungano walipitisha maamuzi magumu kwa muktadha wa kupigania maslahi ya kizazi hiki na vijavyo" Shaka Mwenezi Taifa
"Ikitokea kuwa na dalili za uhuru wetu kutaka kuwekwa rehani na sisi tukikaa kimya tusishangae makaburi ya wasisi wetu yatakapotetemeka. Watanzania wasiwe tayari kuona uhuru wao ukiporwa" Shaka Mwenezi Taifa
"Kila mmoja wetu ajione ana kazi ya kulinda uhuru ili usinyakuliwe hivyo mnalo jukumu la kuhakikisha mnatunza na kueneza machapisho ya historia ya nchi yetu" Shaka Mwenezi Taifa
"Wapo watu hawafurahi na kupendezwa kutuona tukijiongoza kwa kufuata matakwa ya sera zetu. Watu hao hawataacha vituko badala yake wataendeleza maneno maneno hadi pale watakapotuona tukigawanyika na kupoteza nguvu ya mshikamano wetu" Shaka Mwenezi Taifa
Niwahakikishie wakati tukiadhimisha miaka 60 Serikali ya Rais Samia ataendelea, kuondosha vikwazo vyote ambavyo vinakwamisha utendaji wenu ikiwa ni utekelezaji wa ibara ya 80 (b)ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025" Shaka Mwenezi Taifa
HIZI NI NASAHA YAKINIFU ZA KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA ITIKADI NA UENEZI SHAKA HAMDU SHAKA WAKATI AKIONGEA NA WAANDISHI NA WACHAPISHAJI VITABU LEO 01|12|2021
View attachment 2029646
Nilugha tu mkuu,Hakuna lolote makaburi hayawezi kutetemeka wala kulipuka
Mbona Shaka kaogopa kutaja "bila kujali vyama vyao"??bila kutazama rangi za watu wake, asili zao, makabila au imani za dini zao"