Shaka kumtambulisha Chongolo kwa cheo cha "Doctor" ni ulimi uliteleza au pana ukweli?

Shaka kumtambulisha Chongolo kwa cheo cha "Doctor" ni ulimi uliteleza au pana ukweli?

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2021
Posts
1,505
Reaction score
4,427
Kwa hatua za awali kabisa nimeanza kuona wasiwasi alionao ndugu msemaji wa Chama mpaka kufikia hatua ya kumtambulisha Chongolo kama dokta na madokta wa kweli kutambulishwa kama ndugu tu.

Kwa tunaofahamu historia ya Ndg. Chongolo tumepata wasiwasi kuona utambulisho huo.

Je, kuna kilichofichwa juu ya elimu ya Chongolo ambacho hakipo wazi na leo Ndg.

Shaka kakiweka wazi au ni ulimi uliteleza?
 
Alijisahau alizoea kunwita Dr Bashiru Ally kidogo amtambulishe kama Dr Bashiru
 
Back
Top Bottom