Shaka: Mafuriko na Utitiri huu wa watu kwenye Chaguzi ndani ya CCM ni ishara ya Ushindi wa Tsunami 2024|25 na kukubalika zaidi kwa Rais Samia Suluhu

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
5,621
Reaction score
5,029
IMG-20221120-WA0102.jpg

UMATI UCHAGUZI WA CCM NI SALAMU ZA TSUNAMI 2024-2025.

Shaka asema idadi hiyo kubwa inatokana na uongozi bora wa Rais Samia,

Asisitiza uchaguzi wa mwaka huu umevunja rekodi kwa kuwa haijawahi kutokea

====
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema mwitikio mkubwa wa wanachama kujitokeza katika uchaguzi kuanzia ngazi ya shina hadi taifa, ni salamu za kukubalika kwa Mwenyekiti wa Chama, Rais Samia Suluhu Hassan.

IMG-20221120-WA0103.jpg

Pia, amesema umati huo wa wanachama ni salamu za historia mpya katika kufanya vizuri katika uchaguzi wa 2024 na 2025 kwa kuwa viongozi watakaopatikana mwaka huu ndio wanaokwenda kukiongoza Chama katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

IMG-20221120-WA0107.jpg

Hayo yamesemwa leo na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, wakati akizungumza na wajumbe wa mkutano mkuu wa Mkoa wa Magharibi katika ukumbi wa Banquet mjini Unguja.

IMG-20221120-WA0108.jpg

“Viongozi hao wa Chama wa mikoa ndio watakaotoa mwelekeo wa ushindi wa CCM 2024 katika uchaguzi wa serikali za mitaa Tanzania Bara na 2025 uchaguzi mkuu kwa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,” alisema.

IMG-20221120-WA0096.jpg

Shaka alisema kuwa CCM bado chaguo la umma kwa kuwa ni madhubuti, chenye muundo bora, mtandao mpana, viongozi imara, sera nzuri na kubeba matumaini na matarajio ya wananchi.

Alisisitiza kwamba mwitikio wa wanachama wa CCM kujitokeza kuomba uongozi umekuwa mkubwa kuliko wakati wowote katika historia ya Chama.

IMG-20221120-WA0098.jpg

Kwa mujibu wa Shaka, mwitikio huo ni kielelezo cha kukubalika, demokrasia pana na utendaji haki ndani ya Chama pamoja na imani kubwa waliyonayo wanachama kwa uongozi wa Mwenyekiti Rais Samia Suluhu Hassan.

Aidha, alisisitiza kuelekea 2025 Chama kwa mujibu wa utaratibu na utamaduni wake hakina mpango wa kupata wagombea urais wengine kwa upande wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, badala yake kazi kubwa iliyopo mbele yao ni kuendeleza umoja, mshikamano na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 ili itekelezwe kwa viwango kama ilivyoahidiwa kwa wananchi.

“Tabia na utamaduni huu wa kuahidi na kutekeleza umeendelea kuifanya CCM kutokuwa na mpinzani katika siasa za ushindani. Wanachama wa CCM fanyeni uchaguzi wa viongozi kwa sifa na uwezo wa kuongoza kwa maslahi ya Chama na nchi yetu,” alisema.
 
Kwakweli Wagombea ndani ya CCM wamekuwa wengi sana tofauti kabisa na miaka ya nyuma, pia

Leo hakuna kuzomewa tena mtu akivaa Nguo za CCM

ASANTE RAIS SAMIA KWA KUIHESHIMISHA CCM,
 
Leo kombati ukivaa ndio unachekwa balaa, Ndio maana hakuna anayezivaa
 
Wenye akili walishafika 2025 na wametulia wana waacha mpigane vijembe majibu wanayo wenyewe...
 
Kapigwa nani vijembe, CCM ni Chama cha kidemokrasia hivyo ni haki ya wanachama kutoa maoni yao
 
View attachment 2422260
UMATI UCHAGUZI WA CCM NI SALAMU ZA TSUNAMI 2024-2025.
=====================
Shaka asema idadi hiyo kubwa inatokana na uongozi bora wa Rais Samia,

Asisitiza uchaguzi wa mwaka huu umevunja rekodi kwa kuwa haijawahi kutokea

====
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema mwitikio mkubwa wa wanachama kujitokeza katika uchaguzi kuanzia ngazi ya shina hadi taifa, ni salamu za kukubalika kwa Mwenyekiti wa Chama, Rais Samia Suluhu Hassan.
View attachment 2422262
Pia, amesema umati huo wa wanachama ni salamu za historia mpya katika kufanya vizuri katika uchaguzi wa 2024 na 2025 kwa kuwa viongozi watakaopatikana mwaka huu ndio wanaokwenda kukiongoza Chama katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
View attachment 2422264
Hayo yamesemwa leo na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, wakati akizungumza na wajumbe wa mkutano mkuu wa Mkoa wa Magharibi katika ukumbi wa Banquet mjini Unguja.
View attachment 2422265
“Viongozi hao wa Chama wa mikoa ndio watakaotoa mwelekeo wa ushindi wa CCM 2024 katika uchaguzi wa serikali za mitaa Tanzania Bara na 2025 uchaguzi mkuu kwa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,” alisema.
View attachment 2422267
Shaka alisema kuwa CCM bado chaguo la umma kwa kuwa ni madhubuti, chenye muundo bora, mtandao mpana, viongozi imara, sera nzuri na kubeba matumaini na matarajio ya wananchi.

Alisisitiza kwamba mwitikio wa wanachama wa CCM kujitokeza kuomba uongozi umekuwa mkubwa kuliko wakati wowote katika historia ya Chama.
View attachment 2422268
Kwa mujibu wa Shaka, mwitikio huo ni kielelezo cha kukubalika, demokrasia pana na utendaji haki ndani ya Chama pamoja na imani kubwa waliyonayo wanachama kwa uongozi wa Mwenyekiti Rais Samia Suluhu Hassan.

Aidha, alisisitiza kuelekea 2025 Chama kwa mujibu wa utaratibu na utamaduni wake hakina mpango wa kupata wagombea urais wengine kwa upande wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, badala yake kazi kubwa iliyopo mbele yao ni kuendeleza umoja, mshikamano na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 ili itekelezwe kwa viwango kama ilivyoahidiwa kwa wananchi.

“Tabia na utamaduni huu wa kuahidi na kutekeleza umeendelea kuifanya CCM kutokuwa na mpinzani katika siasa za ushindani. Wanachama wa CCM fanyeni uchaguzi wa viongozi kwa sifa na uwezo wa kuongoza kwa maslahi ya Chama na nchi yetu,” alisema.

===
Umakini unatakiwa sana maana dalili za udini ndani ya CCM hii ziko wazi.
 
Uchaguzi wa CCM wa mwaka huu uko so hot aise, niliona UVCCM pale SINGIDA yaani ni balaa aise
 
Back
Top Bottom