Shaka muonye Humphrey Polepole mapema kwenye mkutano mkuu Desemba 2021

Shaka muonye Humphrey Polepole mapema kwenye mkutano mkuu Desemba 2021

Lee Swagger

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
1,063
Reaction score
1,815
Nawasalimu Kwa Jina La Jamhruri Ya Muungano Wa Tanzania.

CCM inatarajia kukutana Kwa Ajili ya Mkutano DEC 15 2021. Naomba ndugu Yangu Kijana Shaka Hamdu Shaka.

Tumia Fursa hii kumbananisha Pole Pole na Kumpa Ushauri Wa Bure, Ukishirikiana na Manguli Wengine Wa Kwenye Chama Hichi Kikongwe.

"Pole Pole Usimkwamishe Raisi"

Kama Ataendelea Kuleta Lomoni. Nafkiri Shaka Zulu Unajua Namna Ya Kufanya.

Yangu Ni hayo Tu.

images - 2021-12-14T160032.708.jpeg


Taarifa ya Mkutano Mkuu

IMG-20211214-WA0019.jpg
 
CCM mambo si swali kwa sasa, wacha tuone kundi gani litapenya 2025.
 
Mfukuzeni tu siasa zinoge,mnafikiri wananchi ni wajinga,wanajua vyema msimamo wake juu ya chanjo,ufisadi,na msimamo wake tangu Bunge la katiba.
2025 unataka Hangaya arudi home siyo?
 
CCM mambo si swali kwa sasa, wacha tuone kundi gani litapenya 2025.
Chama kimerudi kwa wenyewe,sukuma side na wajamaaa wakalale hawana chao.
Wasubirie miaka 30 ijayo,ndo watapata magutype
 
Chawa wa Magufuli aliyefurushwa mezani, bado aamini zama zimebadilika na chama kimerudi kwa wenyewe.Musiba sijui uso wake anauweka wapi.
 
Back
Top Bottom