Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,063
- 1,815
Chama kimerudi kwa wenyewe,sukuma side na wajamaaa wakalale hawana chao.CCM mambo si swali kwa sasa, wacha tuone kundi gani litapenya 2025.
π±π±π±π±π±π±π±π±π±π±Barua yenyewe mpaka wanakosea!
Laana ya October 28 iko nao..