SHAKA: Rais Samia hatazuiwa kuingia mawindoni kutafuta maendeleo ya Watanzania

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ametolea ufafanuzi kuhusu ziara za Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Mataifa mbalimbali ambazo zimeendelea kulifungua Taifa zaidi Kiuchumi, Uwekezaji na Biashara.

ccmtanzania~p~CamT2uvKJxT~1.jpg
 
Hii ndiyo nchi sasa. Sio mambo ya Bwana yule kudanganya watu kila kukicha hakopi tunatumia fedha za ndani kumbe ndo kakopa kuliko yoyote. Rais Samia anatupeleka pazuri sana. Nyie huu Uwekezaji tunaoupata ukianza kutoa matunda baada ya muda mfupi hii nchi itakuwa mbali sana. Subiri muone
 
Hivi huyu mwenezi kauli anazotoaga zinazomhusu Rais huwa ni zake binafsi au ni maamuzi ya vikao?!.

Anaongea sana kumhusu Rais hadi anaharibu!!!.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Ni watu wa familia moja ni lazima amuunge mkono na kumpigia debe hata kama Samia anaharibu,, mwambieni Shaka akatembelee mradi wa Rufiji aone kazi ya rais wake
 
Hii ndiyo nchi sasa. Sio mambo ya Bwana yule kudanganya watu kila kukicha hakopi tunatumia fedha za ndani kumbe ndo kakopa kuliko yoyote. Rais Samia anatupeleka pazuri sana. Nyie huu Uwekezaji tunaoupata ukianza kutoa matunda baada ya muda mfupi hii nchi itakuwa mbali sana. Subiri muone
Haaa.. tusubiri nini? lile picha la Uarabuni?

Sio kila kitu kudhurura bana, vingine unatuma balozi tu kazi kwisha.. unapunguza ghalama.
 
Hii ndiyo nchi sasa. Sio mambo ya Bwana yule kudanganya watu kila kukicha hakopi tunatumia fedha za ndani kumbe ndo kakopa kuliko yoyote. Rais Samia anatupeleka pazuri sana. Nyie huu Uwekezaji tunaoupata ukianza kutoa matunda baada ya muda mfupi hii nchi itakuwa mbali sana. Subiri muone
Acha Kumzungumzia Au kumfananisha Huyo mtu na Mambo ya Ajabu ajabu
 
Kama huna mipango ya maendeleo kwa taifa lako ndani, huwezi kuyapata nje. Huko mmeenda kutalii tu, hamna lolote.
 
Na mo nae alifata nn? Acheni kutumia akili kubwa kutafsiri mambo madogo
ONGEZA UGALI KWA WATOTO WAKO
 
Hii ndiyo nchi sasa. Sio mambo ya Bwana yule kudanganya watu kila kukicha hakopi tunatumia fedha za ndani kumbe ndo kakopa kuliko yoyote. Rais Samia anatupeleka pazuri sana. Nyie huu Uwekezaji tunaoupata ukianza kutoa matunda baada ya muda mfupi hii nchi itakuwa mbali sana. Subiri muone
Mzee bado tuu jpm kashkilia kende hzo had leo . Kwel yule jamaa alikua anaogopwa aisee.. kaacha legacy.. had leo watu bado mnawashwa ma** ko tu
 
Back
Top Bottom