BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Si ndiyo anamlinda maana alikuwa na kesi ya rushwa Morogoro akiwa katibu wa CCM mkoaHivi huyu mwenezi kauli anazotoaga zinazomhusu Rais huwa ni zake binafsi au ni maamuzi ya vikao?!.
Anaongea sana kumhusu Rais hadi anaharibu!!!.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app

Yaani huyu mpiga debe anahisi anamtetea Mama ila kimsingi huwa anamchafua!.Si ndiyo anamlinda maana alikuwa na kesi ya rushwa Morogoro akiwa katibu wa CCM mkoa
Ni watu wa familia moja ni lazima amuunge mkono na kumpigia debe hata kama Samia anaharibu,, mwambieni Shaka akatembelee mradi wa Rufiji aone kazi ya rais wakeHivi huyu mwenezi kauli anazotoaga zinazomhusu Rais huwa ni zake binafsi au ni maamuzi ya vikao?!.
Anaongea sana kumhusu Rais hadi anaharibu!!!.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Mzanzibar mwenzakeYaani huyu mpiga debe anahisi anamtetea Mama ila kimsingi huwa anamchafua!.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Hadi mwenyewe anajishangaa kuwepo hapo.Si ndiyo anamlinda maana alikuwa na kesi ya rushwa Morogoro akiwa katibu wa CCM mkoa
Wanatumbua pesa za umma.
Haaa.. tusubiri nini? lile picha la Uarabuni?Hii ndiyo nchi sasa. Sio mambo ya Bwana yule kudanganya watu kila kukicha hakopi tunatumia fedha za ndani kumbe ndo kakopa kuliko yoyote. Rais Samia anatupeleka pazuri sana. Nyie huu Uwekezaji tunaoupata ukianza kutoa matunda baada ya muda mfupi hii nchi itakuwa mbali sana. Subiri muone
Acha Kumzungumzia Au kumfananisha Huyo mtu na Mambo ya Ajabu ajabuHii ndiyo nchi sasa. Sio mambo ya Bwana yule kudanganya watu kila kukicha hakopi tunatumia fedha za ndani kumbe ndo kakopa kuliko yoyote. Rais Samia anatupeleka pazuri sana. Nyie huu Uwekezaji tunaoupata ukianza kutoa matunda baada ya muda mfupi hii nchi itakuwa mbali sana. Subiri muone
Mzee bado tuu jpm kashkilia kende hzo had leo . Kwel yule jamaa alikua anaogopwa aisee.. kaacha legacy.. had leo watu bado mnawashwa ma** ko tuHii ndiyo nchi sasa. Sio mambo ya Bwana yule kudanganya watu kila kukicha hakopi tunatumia fedha za ndani kumbe ndo kakopa kuliko yoyote. Rais Samia anatupeleka pazuri sana. Nyie huu Uwekezaji tunaoupata ukianza kutoa matunda baada ya muda mfupi hii nchi itakuwa mbali sana. Subiri muone