Shaka: Wenzetu wa vyama rafiki njoo tumuunge mkono Rais Samia kwani maendeleo anayofanya hayana jina la Chama chochote

kauli za waungwana
 
Hivyo vyama vyenye miaka 30 bila hata Ofisi unadhani vinafahamu maana ya maendeleo?

Kidogo ACT nawaona kuwa ni watu waungwana
Maendeleo gani wanayodai hao CCM... Labda ya kuzaliwana. Maana kwa hilo CCM wamefanikiwa. Kututoa million 9 mwaka 1961 mpaka million 61 mwaka 2022.....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…