Shalla Mwala na miondoko ya mutwashi

Shalla Mwala na miondoko ya mutwashi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
kwa kizazi hiki cha wabana pua ni ngumu kumkumbuka huyu mwanadada wa Congo lakini enzi zake alitikisa hasa, natamani mno wasanii wetu wajifunze kwa wanamuziki kama hawa japo kwa kusikiliza nyimbo zao na kusikia vionjo vya wakati huo
 
embu nyi wakongwe 2tajieni ngoma za kali 2ziskie..,mi naijua moja2..,dezodezo!
 
Aisee huyu bi mkubwa alikuwa kiboko katika live show,muziki ukimkolea anafunua nguo yake kwa mbele looo utamu wote waaazi,mi nilikuwa nampendea hapo tu.
 
:A S 39:Huyo ni nani tena wakuu, au mnamzungumzia Tshala Muana
 
kwa kizazi hiki cha wabana pua ni ngumu kumkumbuka huyu mwanadada wa Congo lakini enzi zake alitikisa hasa, natamani mno wasanii wetu wajifunze kwa wanamuziki kama hawa japo kwa kusikiliza nyimbo zao na kusikia vionjo vya wakati huo

Nyie waleta uzi bana, kwa nini msihakiki japo jina kabla ya kuruka hewani ?.............bi mkubwa anaitwa Tshala Muana.

Enzi zake............ila waige yote lakini isiwe kujifunua..........na siku ukute "amesahau" kuvaa kofuli..............ni balaaaaaaaaaaaaaaa.
 
hahaaaaa na shepu lake lile cpati picha hilo burger lake lilivo
 
kama ni huyo ukweli ni kwamba kwenye hiyo mindoko hiyo ametikisa haswa na nyimbo zao nyingi zina maudhui na zinaelemisha pamoja na kuburudisha, na wakati unamzungumzia Tshala Muana usimsahau pia M'pongo Love
ndio mkuu jina la huyu bidada kidogo linachanganyi
 
kama ni huyo ukweli ni kwamba kwenye hiyo mindoko hiyo ametikisa haswa na nyimbo zao nyingi zina maudhui na zinaelemisha pamoja na kuburudisha, na wakati unamzungumzia Tshala Muana usimsahau pia M'pongo Love
Yeah hata yeye pia walitikisa mno Enzi zao
 
Back
Top Bottom