kwa kizazi hiki cha wabana pua ni ngumu kumkumbuka huyu mwanadada wa Congo lakini enzi zake alitikisa hasa, natamani mno wasanii wetu wajifunze kwa wanamuziki kama hawa japo kwa kusikiliza nyimbo zao na kusikia vionjo vya wakati huo
Nyie waleta uzi bana, kwa nini msihakiki japo jina kabla ya kuruka hewani ?.............bi mkubwa anaitwa Tshala Muana.
Enzi zake............ila waige yote lakini isiwe kujifunua..........na siku ukute "amesahau" kuvaa kofuli..............ni balaaaaaaaaaaaaaaa.
ndio mkuu jina la huyu bidada kidogo linachanganyi
Yeah hata yeye pia walitikisa mno Enzi zaokama ni huyo ukweli ni kwamba kwenye hiyo mindoko hiyo ametikisa haswa na nyimbo zao nyingi zina maudhui na zinaelemisha pamoja na kuburudisha, na wakati unamzungumzia Tshala Muana usimsahau pia M'pongo Love